Morio Anzenza

Morio Anzenza

by Wakadinali

on Morio Anzenza (2019), Victims of Madness (2020)

Yeah

Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga

Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga

Munga

Mi huzoza mamzinga, Zile kali kali kama shuzi za simba
Mnabonga mtanishika shati Kwa keja ya mabati, Mmejificha wapi?
Mi huwanga na dinga, Lakini bado mi huenda rotejo huko Mtindwa
Huezi nitishia life, Mi nilikuwa na du street na patipati
Nyi mkivishwa nappy
Mi ni Rong Rende boy machachari, Say it to my face unabeef kina nani?
Oh my gosh samahani, mitishamba ndio mboga plus ugali flani
Hizi side miracle hazifanyikagi, Msee aliniroga aliniacha ka amenilaani
Rap game haitaki chali, Na usishangae mbona, Ju ni mimi nimei-marry

Lay down flat, stay on your lane Incase haujajuwa utapepetwa
Serial killer hatu-fightingi terror, In short tume upgrade weapon
Fake ass niggas, back biting haters, Kazi ni ku-update status
Wivu juu ni si paper chasers Kwa kila bus station, BS hadi Afya Centre
Mi sichezi wazeiya, Mi ukinicross utagenya
Kuna dem anashinda akiteta, Akikuja asipate mbogi kwa keja
Fine gyal lakini huwezi sema, Pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in Kenya
Mayengs hunipenda, Shori denga anataka kuchukua selfie tena
Sisi zetu ni hustle, Acha tukuwachie we king castle
Managerr alirudishwa home Ju promoter alidai kumeet doshi in person
Niko kuber na mandom, eeh Pale Instagram I wrote this caption
Munga mi hutembea na machrome Ata nisipo-act Utavuliwa na kovi vihasho

Scar

Siendi, siendi, Waambie watafute plan B
Ndio nikuje watume kwa Pay Bill, Nyi mapromoter siwapendi
Shughli kubwa huku spending, Hakuna kitu fupi ka wikendi
Ongea bas, what you can't be
Appearance, 10Gs
Nikizoza hawapendi, Hii ni ya Gikomba na ni Fendi
Huku ni kubaya nimeona mengi, Mpaka manugu malaya washenzi
I never knew they will play me, Namaanisha kwa radio na telly Eey
Revenue looking crazy, Nitakodesha ka Benzo na Bently
You talk much hautendi, Youth fund iko pending
You fuck niggas just can't be Serious, bullshits trending Eey
These old niggas can't bear me, These new niggas ain't family aah
These old niggas can't bear me, These new niggas ain't family

Nakuwanga roho, On the low but naeza burn na Boy
Kidogo nikang'e banga wine, Nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy

Dyana Cods

Obe babe (yeah)
Obe babe si kidogo ni (Mmh)
Ka ni mbali mi nafika, sijali na hali Mi mkali niko ndani
Ndani Kamali nafika bei Bila chali, nafika bei till Diani
Mtoto fulani bei kali Lakini rhyme flow fiti ka Yeezy
How many times imma tell you this, I need a nigga like Kanyari
He making that money, He making a mummy go low Ka chasing a kulo
Feeling da lingo feeling da brew (Huh), The brewery Bella Rosa
Cheki manzi bila ring, Jegi fiti bila fake Wanadai kunifeel

Obe baba hii ni real, Obe baba hii na kill Aki ya nani na kill
If ulionaga kwa misitu Panda miti bila kitu eey
Listen Ati ma slay ni wale wa Obe baba bado mimi ndo ule wa Shika hiyo ladha
Taste fiti kama Lager, Haga seti kama ladha, fika hiyo bei

Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga

Reputation ni same Gang ingemblain ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, Nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, Morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji Wa Mukuru kwa Njenga

Song Comments
On Morio Anzenza by Wakadinali

Must have JavaScript enabled to comment.