Kenya National Anthem and Patriotic Songs

Jambo bwana

by Safari Sound Band

on Kenya National Anthem and Patriotic Songs (2010)

Jambo, Jambo bwana
Habari gani
Mzuri sana

Wageni, Wakaribishwa
Kenya yetu Hakuna Matata

Kenya nchi nzuri
Hakuna Matata

Nchi ya maajabu
Hakuna Matata

Nchi yenye amani
Hakuna Matata

Hakuna Matata
Hakuna Matata

Watu wote
Hakuna Matata
Wakaribishwa
Hakuna Matata

Hakuna Matata
Hakuna Matata. (till end)

Song Comments
On Jambo bwana by Safari Sound Band

Must have JavaScript enabled to comment.