Tattoo

Tattoo

by Lava Lava

on Tattoo (2018)

Mmmh mmmh nahis nahis dunia imenihadaa na uogaa ibiliss ibilis
Kichwani amenijaa natamani kukurogaa mmh wa kunisifia sina maji
Yamenizid kina ona nazama nani aniokoee kabisa umekata
Shina umenitosa mazima umemwaga na mtama kuku waudonoee
Sisikii la mwazin wala la mnadi swala
Juu yako wewee
Na sijutii mangapi tumefanya gizani walaa shaka uondoee
Ila naijutia tattoo tattoo
Niliyokuchora tatoo tatoo
Mmh mwilin mwangu eeh leo imekula kwangu

Song Comments
On Tattoo by Lava Lava

Must have JavaScript enabled to comment.