Ken Demacra

More girl

by Ken Demacra

Ken Demacra
More girl Lyrics

(Intro)
Dollar boy (Oyeeeh)
(Verse 1)

Give me that nimeona kwa taratibu
I'll not lie kasema Dangote chibu
I need some more kidogo sitaweza
Kill me slow dawa bitter nikimeza

Oyeeeh sijui nianzie kwa Bongo Tanzania
Oyeeeh ama kwa Afrobeatz Nigeria
The way you set on fire fire (Kigoma)
They your love come near near (No comma)

So vile mapenzi Ni heavy kaitishe lorry
Nitakwangushia no blame sorry
Nyakongo ndo dala uko kwetu kukula rahaa
(Nyabera)

(Pre-chorous)

Busu Ni Busu
Kasuku kasuku
Usiku usiku
Susu Ni susu

(Chorus)
Give me more girl
Nataka more girl
Sukuma more girl
Kwa beats za kumwaga×2

(Verse 2)
Kwangu sio tatizo kukupenda Oyeeeh
Chips Nyororo Kula Kula (Kula Kula)
Tena usiworry Mimi King wa mapenzi
Oyeeeh
Susumila wa Kenya Kenya (Kenya Kenya)

Come nikutekenye (Njinjinji)
Baby mama (bwibwibwi)
Ukidoze (Fofofo)
Nitaanza (before)

Nimekupromise Sitakumwaga
Oooooh darling
Mtu yeyote Akiaribu Nakanyaga
Ooooh darling
Maana wewe Ni wangu na Mimi niwako
Nitapenda Hadi nife

Kanipa Kanipa huyu Kanipa
Kachiri Kachiri Kachiri Saga

(Pre-chorous)
Busu Ni Busu
Susu Ni susu
Kasuku kasuku
Usiku usiku

(Chorus)
Give me more girl
Nataka more girl
Sukuma more girl
Kwa beats za kumwaga×2

Song Comments
On More girl by Ken Demacra

Must have JavaScript enabled to comment.