
MARIA
by HOTSEA
on María (2020)
[Intro]
Nilitamani niwe wako
Wa milele X2
Hello
Hello baby
Hello hello
Hello baby
Hello
Hello baby...
[Chorus]
Hello ni vipi
Imekuwa ni siku nyingi hivi
Sijakucheki tangu unisaliti
Mbona kunifanya hivi
Uliniahidi
Milele nami utaishi
Hutonisaliti
Mbona kunifanya hivi
[Verse 1]
Sura yako, tabia zako
Ndizo zilinielekeza kwako
N'kajipata kwako wee kwangu mapato
Basi kwa wengine kafunga macho
[Pre-hook]
Nilidhani hungewahi kuwa bandia
Lakini sa hizi ndio nagundua
Kaniacha pekee yangu kama nalia
Kaniacha bila warning Maria
[Chorus]
Hello ni vipi
Imekuwa ni siku nyingi hivi
Sijakucheki tangu unisaliti
Mbona kunifanya hivi
Uliniahidi
Milele nami utaishi
Hutonisaliti
Mbona kunifanya hivi
[Verse 2]
Nikifunga macho
Hapa niliko naona bado mi ni wako
Macho yako kanidanganya
Kisha lips zako kanivako
[Pre-hook]
Nilidhani hungewahi kuwa bandia
Lakini sa hizi ndio nagundua
Kaniacha pekee yangu kama nalia
Kaniacha bila warning Maria
[Chorus]
Hello ni vipi
Imekuwa ni siku nyingi hivi
Sijakucheki tangu unisaliti
Mbona kunifanya hivi
Uliniahidi
Milele nami utaishi
Hutonisaliti
Mbona kunifanya hivi
[Verse 3]
Na next time nikisema niko in love
Rephrase that nigga niko in lust
Furthermore niko kwa booth naji-discuss
Distance naenda ni ya discus
Usinijali nani niko fine mami
Machozi singetoa mi si tap nani
Kakupenda kasahau kujipenda nani
Nataka anza leo kujipenda kamili
[Chorus]
Hello ni vipi
Imekuwa ni siku nyingi hivi
Sijakucheki tangu unisaliti
Mbona kunifanya hivi
Uliniahidi
Milele nami utaishi
Hutonisaliti
Mbona kunifanya hivi
[Outro]
Utapenda, utapendwa
Roho...
Utavunja, utavujwa
Ni kawaida...
Song Comments
Must have JavaScript enabled to comment.On MARIA by HOTSEA