
Dada
by Capu Mannu
Aah
Hehe
Heh
Toka yole adi mabombe wananitaka
Dada dada da (x4)
Saint P with that beat
Dada dada,Cheza chini dada
Nakusuka nakutaka
Ndaku fuata fuata
Uko fiti,una jegi,una waka waka
Nina vako za ughetto, mi ni fala fala ah
Mi si mjanja mi ni fala fala
Nina vako za majaba na ma stata stata
Ndalenge njeri,wambo na kina wanja ah
Adi na kina wanja
Nina banger kejani itakubamba
Nacheza doba na wewe unachora saba
Macho nyanya utadhani niko mashada
Zikipanda kwa giza natoa fwaka ah
Zikipanda utaita bwana
Jumapili itabidi umetoa sadaka
Stori zangu utabaki umechapia sarah
Toka yole adi mabombe wananitaka
Dada dada da (ooya)
Dada dada da (woooowi)
Dada dada da (ksss ksss)
Dada dada da (oyaa mrembo)
Dada
Dada
Dada dada da
Dada
Dada
Dada dada da
Wewe ni madam si kadem
Cheki nisha co-ordinate
Vile umejibeba narelate
Nikiku salivate
Kwenye bedmaze tuki meet
Ushaa ji marinate
Mi ndio key,ukilostisha akuna duplicate a huh
Akuna duplicate
Akuna duplicate yеah
Akuna duplicate
Lakini akuna duplicate
We ni ngoko yangu loco
Adi mtaa washa juanga nakuita coco
Kwani wе ni ngoko yangu loco
Adi mtaa washa juanga nakuita coco
Aaah
Dada dada da (ooya)
Dada dada da (woooowi)
Dada dada da (ksss ksss)
Dada dada da (oyaa mrembo)
Dada
Dada
Dada dada da
Dada
Dada
Dada dada da
Nina banger kejani itakubamba
Nacheza doba na wewe unachora saba
Macho nyanya utadhani niko mashada
Zikipanda kwa giza natoa fwaka ah
Zikipanda utaita bwana
Jumapili itabidi umetoa sadaka
Stori zangu utabaki umechapia sarah
Toka yole adi mabombe wananitaka
Yani kamdoko kameuma wire
Kasha nifanya nikope tala
Yaani buda boss kaa mbali nah nah
Da da da
Yani kamdoko kameuma wire
Kasha nifanya nikope tala
Yaani buda boss kaa mbali nah nah
Da da da dada
Dada dada da (ooya)
Dada dada da (woooowi)
Dada dada da (ksss ksss)
Dada dada da (oyaa mrembo)
Dada
Dada
Dada dada da
Dada
Dada
Dada dada da
Umeni murder
Killer mi ni banger
Song Comments
Must have JavaScript enabled to comment.On Dada by Capu Mannu