
WELCOME TO 1960
by 4T DAYZ
WELCOME TO 1960
Welcome to 1960 my hood,
Tuko na bad reputation lakini si ni wa good,
Struggle uku ni real sio kitu ngumu mzazi kukosa kuekelea kwa Meza food,
Ma yout wako streetwise, sio Magic ukimeet mmoja wawili wenye ni rude,
Kuomoka is always on our minds adi wengine wana contemplate kusell ma nudes,
Energy zote ziko uku, Kinetic na Potential, Zingine zinapush, zingine zinapull,
Uezi make it uku kaa we ni fool,
Jirani yako ni Mbwa mwitu lakini mchana amekupigia wool,
at a tender age vijana wadogo washakua wajanja wanaanza ku act cool,
wanachorea vako za kuamka asubuhi na kuvaa uniform wana drop out of School,
Wanatouch the road kwa waist wamejipin matool,
ma idhaa uwapate baze wakigamble, kushikisha na wengine wakicheza pool,
Makeja uku ni magoro na ukienda izo ma area za Kiandaa ni ma Shanty,
Uku unaeza ishi na budako,mathako,bro, siz plus na Aunty,
Uezi trust msee uku, unaeza muinua akupige ngumi kama Asante,
Tunapenda ngoma zote, Bob Marley, Tupac, Lil wayne Plus na Ashanti,
Kuna dini zote wakristo, waislamu na ma Bobo Shanty,
madem wadogo wamevuta line adi washajua kuvulia maboyz ma panty,
Song Comments
Must have JavaScript enabled to comment.On WELCOME TO 1960 by 4T DAYZ